Mikamba secondary school, 1 September | Event in Dar Es Salaam | AllEvents

Mikamba secondary school

Kigoma ndio kwetu

Highlights

Mon, 01 Sep, 2025 at 10:00 am

Kigoma Town

Advertisement

Date & Location

Mon, 01 Sep, 2025 at 10:00 am (EAT)

Kigoma Town

Dar es Salaam, Tanzania

Save location for easier access

Only get lost while having fun, not on the road!

About the event

Mikamba secondary school
Shule yetu ya Mikamba Secondary School iliyopo sehemu nzuri na tulivu katika kijiji Kidahwe kata ya kidahwe wilaya ya kigoma vijijini inawatangazia nafasi za masomo walezi,Wazazi na Jamii kwa ujumla nafasi za masomo ya pre-form one na nafasi za kuhamia shuleni hapo,Shule yetu ipo njia ya panda na barabara iendayo Kasulu na barabara iendayo Uvinza,Licha shule yetu kuwa matokeo mazuri katika kila mitihani ya Kitaifa,Shule yetu inawandaa watoto wetu kielimu kulingana na mahitaji ya elimu na ajira kwasasa,Shule ina mazingira mazuri ambayo yanamfanya mtoto wako Awe huru kujisomea,kujifunza na kufundishwa kwa vitendo hasa masomo ya Sayansi na masomo ya michezo

Nafasi za kuhamia mtihani utafanyika tarehe 13/09/2025 na masomo ya pre-form one yataanza tarehe 15/09/2025. Wahi sasa na mlete mwanao shule ya Mikamba Secondary School apate elimu bora. Kwa mawasiliano zaidi piga

MENEJA WA SHULE

0765900703
0684900703
0768314033

MKUU WA SHULE
0753819156
0713116939

SECOND MASTER
0753826557.

Mlete mwanao Mikamba Secondary School kwa mafanikio ya mwanao ili apate elimu stahiki.


You may also like the following events from Kigoma ndio kwetu :

interested
Stay in the loop for updates and never miss a thing. Are you interested?
Yes
No

Ticket Info

To stay informed about ticket information or to know if tickets are not required, click the 'Notify me' button below.

Advertisement

Nearby Hotels

Kigoma Town, Dar es Salaam, Tanzania
Get updates and reminders

Host Details

Kigoma ndio kwetu

Kigoma ndio kwetu

Are you the host? Claim Event

Advertisement
Mikamba secondary school, 1 September | Event in Dar Es Salaam | AllEvents
Mikamba secondary school
Mon, 01 Sep, 2025 at 10:00 am