TUNAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE TAMASHA KUBWA LA KUSIFU NA KUABUDU, LITAKALO FANYIKA TAREHE 31/08/2025
MAHALI:- SHUJAA GOSPEL CENTRE @ EAGT MSINGWA
MUDA:- SAA 08:00 MCHANA NA KUENDELEA
FIKA TUMFANYIE JEHOVA KITI.
Zaburi 22 : 3
Na Wewe U Mtakatifu, Uketiye juu ya sifa za Israeli.
Stay in the loop for updates and never miss a thing. Are you interested?
Yes
No
Undo
Interested
Ticket Info
To stay informed about ticket information or to know if tickets are not required, click the 'Notify me' button below.