Shule ya St Bakanja Sec.School iliyopo kijiji cha Muhinda wilaya ya Buhigwe,inayomilikiwa na kanisa katoliki mkoa Kigoma,inatangaza nafasi za masomo ya pre-form one na nafasi za kuhamia shule hapo kuanzia form one hadi kidato cha Nne, Kwa masomo ya pre-form yataanza tarehe 15/9/2025 hadi 13/12/2025 shuleni hapo, Shule inapokea wanafunzi wa dini zote pia ina madhari mazuri kwaajili ya wazoto wako kujisomea n kufundishwa.
Usipate shida kuhusu mtoto wako wapi atapata elimu bora, Mlete St Bakanja apate elimu bora. Kwa mawasiliano zaidi piga.
MENEJA WA SHULE
0612168058
MKUU WA SHULE
0760464344
0760454344
0752317729
0755401350
KARIBU St,Bakanja Sec. School kwa elimu bora
Stay in the loop for updates and never miss a thing. Are you interested?
Yes
No
Undo
Interested
Ticket Info
To stay informed about ticket information or to know if tickets are not required, click the 'Notify me' button below.