π¬ Mziki na Maarifa inakuletea uzinduzi rasmi wa video mpya ya muziki ya @its_gloria_m iitwayo βTunatokaje Hapaβ, utakaofanyika Alhamisi, tarehe 21 Agosti 2025, saa 12 jioni (6:00PM) katika Nafasi Art Space!
Katika tukio hili maalum, @its_gloria_m, mshindi wa nafasi ya tatu katika shindano la Mziki na Maarifa, atazindua kazi yake ya ubunifu inayochunguza masuala ya kijamii kwa kupitia muziki β kazi yenye ujumbe, hisia, na harakati.
Usikose kuwa sehemu ya uzinduzi huu wa kihistoria ambapo muziki unakuwa chombo cha mabadiliko!
π‘ Project hii umeandaliwa na @nafasiartspace kwa ushirikiano na @tanzaniaborainitiative na @eastafricaradio, kwa udhamini wa Umoja wa Ulaya πͺπΊ @euintanzania
#TunatokajeHapa #MzikiNaMaarifa #GloriaM #NafasiArtSpace #TanzaniaBoraInitiative #EastAfricaRadio #EUTZ #ArtForChange #YouthVoices #CreativeProtest
βΈ»βββββββββββββββββββββββββββββ
π¬ Mziki na Maarifa presents the official launch of @its_gloria_mβs new music video titled βTunatokaje Hapaβ, happening on Thursday, 21st August 2025 at 6:00PM at Nafasi Art Space!
@its_gloria_m, the third-place winner of the Mziki na Maarifa competition, will premiere her powerful and expressive video β a creative reflection on society, transformation, and resilience through music.
Be part of this special moment where music becomes a tool for change!
π‘ This project is brought to you by @nafasiartspace in collaboration with @tanzaniaborainitiative and @eastafricaradio, with support from the European Union πͺπΊ @euintanzania
#TunatokajeHapa #MzikiNaMaarifa #GloriaM #NafasiArtSpace #TanzaniaBoraInitiative #EastAfricaRadio #EUTZ #ArtForChange #YouthVoices #CreativeProtest
Also check out other Arts events in Dar Es Salaam, Entertainment events in Dar Es Salaam, Contests in Dar Es Salaam.