KARISMATIKI KATOLIKI CCCF-City Catholic Charismatic Fellowship (CCCF)
Mon, 05 May, 2025 at 05:30 pm - Sun, 18 May, 2025 at 07:30 pm (GMT+03:00)
Karismatiki Katoliki Cccf-city Catholic Charismatic Fellowship (cccf)
Mansfield Street, Dar Es Salaam, Tanzania
Semina hii ya kipekee imeandaliwa kwa ajili yako — ili upokee nguvu ya Mungu itakayokuvusha kwenye changamoto, magonjwa, vifungo vya kiroho, vizingiti vya maisha na kufungua milango ya mafanikio ya kiuchumi.
Yesu yu hai, na yuko tayari kukuponya, kukuinua na kuinua uchumi wako!*
Usije peke yako waalika ndugu, jamaa na marafiki.
Uponyaji ni wa wote, na kufunguliwa ni zawadi ya Mungu kwa kila atakayeamini.
Ushuhuda wako unaanza hapa. Usikose!
"Bwana ataondoa kwako magonjwa yote..."
Kumbukumbu la Torati 7:15
Tickets for SEMINA YA UPONYAJI NA KUFUNGULIWA can be booked here.
We have gathered all the information for you in one convenient spot, but please keep in mind that these are subject to change.We do our best to keep everything updated, but something might be out of sync. For the latest updates, always check the official event details by clicking the "Find Tickets" button.