didahcollection , 31 August | Event in Dar Es Salaam | AllEvents

didahcollection

Didah Collection

Highlights

Sun, 31 Aug, 2025 at 12:00 am

Kisutu, Dar es Salaam

Advertisement

Date & Location

Sun, 31 Aug, 2025 at 12:00 am (EAT)

Kisutu, Dar es Salaam

Dar es Salaam, Tanzania

Save location for easier access

Only get lost while having fun, not on the road!

About the event

didahcollection
*Ratiba ya China Tour Trip 2*

*Haya sasa tour yetu ya china ya 2 itakua mwezi wa kumi mwshoni 2025 Kunako Uzima kuwahi Canton Fair*

*Kuchangia Ni Milion Sita*

Ambayo itajumuisha
- Kupatiwa visa ya mwezi mmoja kwenda china
- Nauli Kwenda na Kurudi
- ⁠Apartment siku zote utakazo kaa china
- ⁠Kusajiliwa laini na kuunganishwa na VPN ili kupata mtandao
- ⁠Kukatiwa kadi yakutumia kulipia nauli kwenye train
- ⁠Kutembezwa masoko mbali mbali

- Tar 27 mwez wa 8 kila mmja lazma awe na Passport utaipga picha utanitumia inbox niombe mualiko wa kwenda china, Visa Zote ztaanza fatiliwa mwez wa Tatu tar 22 (sasa utaratbu wa kuomba visa umebadilika ntawajazia fomu zote online kisha watatupa apointment km tuende lin ubaloz kupiga picha na kuacha passport)
- ⁠Tar 22 pesa za visa zote zinatakiwa kutumwa kwa crdb yangu 0152954358100 Rukia Ahmed Jamal apa utalipa laki tano
- ⁠Viambata utatakiwa kunitumia nikujazie fomu ni passport yako ya kisafiria, Passport size ynye kitambaa cheupe au muonkno mweupe nyuma, Lisen yako ya Biashara na Tin Number

- Ticket zitakatwa Mwezi Tisa mwanzon Kwenye Tar 10 tiket za wasafr zote ztakua Tyr na safar inatarajia kuwa kati ya Tar 29 au 30 mwez wa kumi In sha Allah
- ⁠Hvyo Hadi Tar 31/08/2025 kila mtu anatakiwa awe Amelipa 3.5 Milion Au Yote 6M ambayo 500k visa 3M kukata tiket (Ikumbukwe mwez wa 9 na 10 ni High season nauli znakua juu sana hvyo lazma tukate tiket mwez mmja na Nusu nyuma kbla ya Safar) na pesa inayobakia Deadline kulipia itakua mwez wa 10 tar 10
- ⁠Tour yetu hii kuchangia ni M 6 iwe unakaa mwezi unakaa wiki 2 au 1 bei ni hio hio kwa sababu wanaokaa muda mfupi nauli hua kubwa sana kuliko wale wanakaa muda mrefu

Tumebakisha miezi 4 mbele yakujiandaa sasa

Km una swali uliza


*Twende zetu China Na Mimi*💪💪
0679248810

interested
Stay in the loop for updates and never miss a thing. Are you interested?
Yes
No

Ticket Info

To stay informed about ticket information or to know if tickets are not required, click the 'Notify me' button below.

Advertisement

Nearby Hotels

Kisutu, Dar es Salaam, Tanzania

Just a heads up!

We have gathered all the information for you in one convenient spot, but please keep in mind that these are subject to change. We do our best to keep everything updated, but something might be out of sync. For the latest updates, always check the official event details by clicking the "Find Tickets" button.

Get updates and reminders

Host Details

Didah Collection

Didah Collection

Are you the host? Claim Event

Advertisement
didahcollection , 31 August | Event in Dar Es Salaam | AllEvents
didahcollection
Sun, 31 Aug, 2025 at 12:00 am