Malawi tunakuja October hii... Hii hapa huwezi kuikosa! 🇲🇼🔥
Jiandae kwa performance kali sana – October 2025 huko Cape Maclear, Malawi!
MAN Kifimbo atapanda stejini na kuwasha moto kwa muziki mzuri wa Afro-Reggae akichanganya vionjo vya ngoma za asili kutoka makabila mbalimbali ya Ki-Tanzania! 💥🎶
Waweza kusikiliza muziki wangu kwenye platform zote – link ipo kwenye bio!
Pia tunakaribisha wadhamini na wajasiriamali wanaopenda kushirikiana nasi kutangaza biashara zao katika safari hii ya kisanii.
Wasiliana nasi moja kwa moja kwa maelezo zaidi!
Tel: +255 (0) 653757877 //
a2lmaW1ib2NoZXphMjAwMCB8IGdtYWlsICEgY29t
______________________________
Malawi, we’re coming this October… and you don’t want to miss this! 🇲🇼🔥
Get ready for a powerful performance in October 2025 at Cape Maclear, Malawi!
MAN Kifimbo will hit the stage with vibrant Afro-Reggae music, blending deep rhythms with traditional dances and cultural flavors from various Tanzanian tribes! 💥🎶
You can stream my music on all platforms – link in bio!
We’re also welcoming sponsors and partners who’d like to support or promote their businesses during this journey.
Feel free to reach out to us directly for more details!
Tel: +255 (0) 653757877 //
a2lmaW1ib2NoZXphMjAwMCB8IGdtYWlsICEgY29t
Also check out other Festivals in Lilongwe.