Discussion group, 2 December | Event in Kakamega | AllEvents

Discussion group

Silver King

Highlights

Tue, 02 Dec, 2025 at 07:00 am

3.5 hours

Butali Mkt

Advertisement

Date & Location

Tue, 02 Dec, 2025 at 07:00 am to 10:30 am (EAT)

Butali Mkt

Webuye, Kakamega, Kenya

Save location for easier access

Only get lost while having fun, not on the road!

About the event

Discussion group
***SEHEMU YA A: FASIHI SIMULIZI***

***Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.***

*Malaika, nakupenda malaika*

*Malaika, nakupenda malaika*

*Nami nifanyaje?*

*Nashidwa na mali sina we*

*Nangekuoa malaika*

*Nashindwa na mali sina we*

*Ningekuoa malaika*

*Pesa, zasumbua roho yangu*

*Nashindwa na mali sina we*

*Ningekuoa malaika.*

***Maswali***

*(a) Tambua kipera cha wimbo huu. (alama 1)*

*(b) Thibitisha jibu lako la (a) (alama 2)*

*(c) Taja nafsi neni na nafasi nenewa wa wimbo huu. (alama 2)*

*(d) Fafanua mitindo **mitatu **iliyotumika katika wimbo (alama 3)*

*(e) Eleza umuhimu wa wimbo huu katika jamii. (alama 4)*

*(f) Ni vipi fanani anaweza kufanikisha uwasilishaji wa wimbo huu kwa hadhira yake? (alama 5)*

*(g) Unanuia kutumia njia ya kushiriki katika kufanya utafiti kuhusu wimbo huu. Eleza changamoto **nne **za kutumia njia hii. (alama 4)*

interested
Stay in the loop for updates and never miss a thing. Are you interested?
Yes
No

Ticket Info

To stay informed about ticket information or to know if tickets are not required, click the 'Notify me' button below.

Advertisement

Nearby Hotels

Butali Mkt, Webuye, Kakamega, Kenya
Get updates and reminders
Ask AI if this event suits you

Host Details

Silver King

Silver King

Are you the host? Claim Event

Advertisement
Discussion group, 2 December | Event in Kakamega | AllEvents
Discussion group
Tue, 02 Dec, 2025 at 07:00 am