Tukutane Dar is back; November 24–30, 2025
After everything, it feels good to come together again—to share space, stories, and creativity. This time, it’s about finding strength in each other and rebuilding what keeps us connected through art.
� Presented by @nafasiartspace
� Supported by @norwayembassytz @swissembassyintz
#TukutaneDar2025 | #ArtsWeek | #CrossBorderCollaboration | #CCI | #nafasiartspace | #swissembassyintz | #norwaytz | #film | #music | #fashion | #workshop | #showcase | #CoCreation | #Collaboration | #CulturalExchange
********************************************************
Tukutane Dar imerudi kuanzia tarehe 24 hadi 30 Novemba 2025. Baada ya yote, tutajisikia vizuri tukiwa kitana wadau wote wa sanaa, kupiga stori, kujenga, mahusiano kupeana moyo na nguvu kati yetu - tujumuike kwa kupitia sanaa.
Lengo ni kukuza sekta hai, shirikishi, na endelevu ya sanaa na utamaduni inayovuka mipaka na kuunganisha jamii.
� Imeandaliwa na @nafasiartspace
� Kwa udhamini wa @norwayintz @swissembassyintanzania
#TukutaneDar2025 | #Sanaa | #Ushirikiano | #CCI | #nafasiartspace | #swissembassyintz | #norwaytz | #film | #music | #fashion | #workshop | #showcase | #CoCreation | #Collaboration | #CulturalExchange
Also check out other Workshops in Dar Es Salaam, Entertainment events in Dar Es Salaam, Arts events in Dar Es Salaam.