Sasa ni hiviiiii!!! Lile jimbo kuu katoliki ambalo lilishika nafasi ya pili kwa kupeleka idadi kubwa ya washiriki katika kongamano la VIWAWA Taifa lililofanyika Tabora, lile jimbo kuu katoliki ambalo lilishika nafasi ya pili katika michezo yote ya uwanjani, LILE JIMBO LENYEWE NI KUU KATOLIKI DODOMAAAA!!!!! Tunasema hivi, TUTAKUWEPO TENA MBEYA, na awamu hiiiiii…. TUTAKUWA WA KWANZA KWENYE KILA KITUUU, yaani HATUTAACHA KITU NA HATUTAMWACHA MTUUUU 😁😁😁
Sasa ni zamu ya Kwenda Jimbo Kuu Katoliki Mbeya kushiriki Kongamano la VIWAWA TAIFA kuanzia tarehe 18 hadi 24 Agosti.
Kama kawaida yetu, SISI KWETUUU MUNGU KWANZAAAAAAA woyooooooooo 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😁😁😁😁
Mtaa kwa mtaa, jumuiya kwa jumuiya, kigango kwa kigango, parokia kwa parokia, dekania kwa dekania tunapita koteee kuwataarifu vijana wote kwamba, twenzetu MBEYA tukashuhudie ukuu wa Mungu na umoja wa VIJANA ambao wameamua kuacha kila kitu na KUMTUMIKIA MUNGU 😊😊😊
VIWAWA DODOMA Twenzetu MBEYA
#viwawadodoma #viwawamedia #viwawasaccosltd #viwawawine