Je wewe ni MSANII wa mziki na ungependa kupata KIPATO kwa kutumia kipaji chako!??
Karibu B LIGHTERS ENTERTAINMENT
wasimamizi na sambazaji wa kazi za sanaa kiujumla
KUPITIA SISI UNATAWEZA
*Kusambaza mziki kwenye digital platform mbalimbali kama itunes,audio mack
*KUSIMAMIA mapato ya uuzaji wa mziki wako
*Kusimamia kama msanii
*Kulinda na kutunza brand Yako
*Kusambaza kwenye media za ndani ya nchi na nje ya nchi
HUDUMA ZETU ZINGINE
*Tunaunganisha waandishi na wasanii kuuza au kununua nyimbo
*Tunatoa elimu ya darasa la sanaa/mziki
*Tuna simamia video vixen Yani video Queen na video king
GRAPHICS & DESIGN
Pia tunatoa huduma za..
Logo
Matangazo
Animation
Cover za mziki
AUDIO & VIDEO PRODUCTION
Tuna rekodi video na audio pia kwa producer wakubwa kwa wadogo
KARIBU B LIGHTERS ENTERTAINMENT
sanaa Yako pesa Yako.
Also check out other Photography events in Dar Es Salaam.