SIKU YA KUTOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA
Advertisement
Kila mwaka tunakuwa na kipindi maalum kwa ajili ya kuwahudumia watoto yatima, walemavu, watoto, wazee wasiokuwa na usaidizi na waliotelekezwa.
Tuwape chakula, mavazi mfano mashati, kabtura, magauni, viatu, nguo za ndani
Tucheze nao pamoja, tuimbe nao nyimbo za kumwabudu na kumwadhimisha na kufurahi pamoja