

# Event Details

- **Event Name**: yanga
- **Event Start and End Date**: Fri, 16 Oct, 2026 at 12:00 am (+03:00)
- **Event Description**: UPDATES : UZINDUZI WA UJENZI WA YANGA SC

"Hichi kikao cha leo ndio kikao chetu cha mwisho cha maamuzi na Ijumaa baada ya mechi yetu na Dodoma JIJI FC tutafanya uzinduzi rasmi pamoja na zoezi kutia saini, Rais wetu Eng. Hersi amependekeza zoezi hilo lifanyike hapa Jangwani utakapojengwa Uwanja wetu."

"Boss wetu GSM amesisitiza leo kwenye kikao kuwa jambo hili la ujenzi wa uwanja likimbie kama mwanariadha Kipchoge."

"Uwanja wetu huu ambao unajengwa hapa Jangwani kwa ubora nadhani kwa Afrika uwanja wetu utaungana na uwanja wa Taifa wa Morocco ndio unaweza kuuweka kwenye daraja moja, Huu uwanja wetu una standard zote za Kimataifa."

🗣️ Ali kamwe - Afisa habari wa klab ya @yangasc
- **Event URL**: https://allevents.in/dar-es-salaam/yanga/200030292388128
- **Event Categories**: 
- **Interested Audience**: 
  - total_interested_count: 34

## Ticket Details


## Event venue details

- **city**: Dar Es Salaam
- **state**: DS
- **country**: Tanzania
- **location**: Mchafukoge, Dar es Salaam
- **lat**: -6.821718810581
- **long**: 39.283908923842
- **full address**: Mchafukoge, Dar es Salaam, Tanzania

## Event gallery

- **Alt text**: yanga
  - **Image URL**: https://cdn-az.allevents.in/events5/banners/7d044d74dc019c742d74c215463c9cfa96b24c80f2ed58a4eb79b491302539d3-rimg-w800-h300-dc080808-gmir?v=1787019394

## FAQs

- **Q**: When and where is yanga being held?
  - **A:** yanga takes place on Fri, 16 Oct, 2026 at 12:00 am to Fri, 16 Oct, 2026 at 12:00 am at Mchafukoge, Dar es Salaam, Tanzania.
- **Q**: Who is organizing yanga?
  - **A:** yanga is organized by Minganho Sports.
- **Q**: Who is this event for? Is it right for me?
  - **A:** yanga is ideal for sports fans, athletes, fitness enthusiasts, and anyone who loves the thrill of live competitive action and the energy of a crowd. Whether you're a first-time attendee or a longtime enthusiast in Dar Es Salaam, this event is thoughtfully curated to deliver a standout experience worth every moment. If yanga sounds like your kind of event, don't wait - spots fill up fast.

## Structured Data (JSON-LD)

```json
[
    {
        "@context": "https://schema.org",
        "@type": "SportsEvent",
        "name": "yanga",
        "image": "https://cdn-az.allevents.in/events5/banners/7d044d74dc019c742d74c215463c9cfa96b24c80f2ed58a4eb79b491302539d3-rimg-w800-h300-dc080808-gmir?v=1787019394",
        "startDate": "2026-10-16T00:00:00+03:00",
        "url": "https://allevents.in/dar-es-salaam/yanga/200030292388128",
        "eventStatus": "https://schema.org/EventScheduled",
        "location": {
            "@type": "Place",
            "name": "Mchafukoge, Dar es Salaam",
            "address": {
                "@type": "PostalAddress",
                "streetAddress": "Dar es Salaam, Tanzania",
                "addressLocality": "Dar Es Salaam",
                "addressRegion": "DS",
                "addressCountry": "TZ"
            },
            "geo": {
                "@type": "GeoCoordinates",
                "latitude": "-6.821718810581",
                "longitude": "39.283908923842"
            }
        },
        "eventAttendanceMode": "https://schema.org/OfflineEventAttendanceMode",
        "description": "UPDATES : UZINDUZI WA UJENZI WA YANGA SC\n\n\"Hichi kikao cha leo ndio kikao chetu cha mwisho cha maamuzi na Ijumaa baada ya mechi yetu na Dodoma JIJI FC tutafanya uzinduzi rasmi pamoja na zoezi kutia saini, Rais wetu Eng. Hersi amependekeza zoezi hilo lifanyike hapa Jangwani utakapojengwa Uwanja wetu.",
        "organizer": [
            {
                "@type": "Organization",
                "name": "Minganho Sports",
                "url": "https://allevents.in/org/minganho-sports/27957396",
                "description": "Minganho Sports, Dar es Salaam. 14,184 likes · 1 talking about this. From channel 10\nNi fatilie kupitia channel 10 kwa habari za michezo na burudan"
            }
        ]
    }
]
```