🚨 *NIGHT OF THE REVIVAL HOURS*
Karibu katika Mkesha huu wenye Lengo la kuchochea *Moto wa Uamsho.🔥*
Isaya 32:15
[15] *hata roho itakapomwagwa juu yetu kutoka juu; hata jangwa litakapokuwa shamba lizaalo sana; nalo shamba lizaalo sana litakapohesabiwa kuwa msitu.*
Ni 05 /12/ 2025 - Ijumaa.
Kuanzia Saa 3:30 Usiku hadi Saa 10:30 Asubuhi.
Mahali: Kanisa la BCIC CHANIKA,
Chanika, Kwa Ngwale - karibu na DCB Bank
Mawasiliano: 0687595872 // 0766053037
*✍️Njoo Tuombe, Twende Viwango Vingine.*
Watu Wote mnakaribishwa Sana.
*#Night Of Revival Hours*
*#BVC Youths*
*#Revival Campaign*
#Nitakuwepo✅
Minister Br Isaac Mwakyoma
AISAC Technology.
Design & Technical
0766053037