

# Event Details

- **Event Name**: NDONT HOLD YOUR PAST.
- **Event Start and End Date**: Mon, 05 Jan, 2026 at 07:22 pm
- **Event Description**: NDONT HOLD YOUR PAST.

Ili uweze kufika MBALI kwenye eneo la huduma,ndio,biashara,kujiajiri, kazi yeyote Ile 
LAZIMA UIFANYE KWA BIDIII YAKO YOTE.

WEKEZA KWENYE UFAHAMU WAKO 
maarifa kutosha Ili uweze kufanya vizuri 

WEKEZA KWENYE UWEZO WAKO.
Ni muhimu kuimarisha uwezo WAKO Ili uweze kuzalisha kitu Bora zaidi.

TAMBUA KUSIDI LA MAISHA YAKO HAPA DUNIANI NI LIPI HASA.

TUNZA ULICHONACHO. Kama Mungu amekupa vitu HAKIKISHA UNA TUNZA sana MAANA ukiharibu kutengeneza ni gharama kubwa sana, na wakati Mwingine waweza kupotea kabisa kwenye Hilo eneo la KUWA Bora.

JAMBO LA mwisho kwa Leo 
Usibebe mambo ya nyuma au changamoto yeyote ya maisha Yako. Mukabidhi YESU KRISTO. Naye atakupumuzisha uwe huru Kila saa .

Ipo hivo unapo beba wazo lolote au changamoto yeyote kwenye moto WAKO unapoteza utulivu WA Ndani WA kufikiri NAMUNA ya kusonga mbele zaidi.

Mfano ilikuwa na MAHUSIANO na mkaka ghafla kakuacha. Huna haja ya kumufikiria na kutaka kulipiza kisasi Bali  mwache aende Ili update NAFASI ya kuboresha zaidi ujana wako.

Focus zaidi kwenye kufikiria juu NAMUNA ya kujenga biashara zako na kutimiza Ndoto zako  mwanaume atakuja tu anayeendana na MALENGO YAKO.

Kumbuka kutu Bora Huwa kinajiuza chenyewe WAla hakihitaji dalali ,kitatafutwa tu automatic.
Kikubwa pambana mpaka watu wajue wachukue maarifa kwako. Maana ukifanikiwa utakuwa Nuru ya ulimwengu.
Isaya 60:1-5,19:22.
MUNGU AKUBARIKI SANA usiku MWEMA
- **Event URL**: https://allevents.in/dar-es-salaam/ndont-hold-your-past/200029186777935
- **Event Categories**: 
- **Interested Audience**: 
  - total_interested_count: 55

## Ticket Details

- **Ticket URL**: http://facebook.com/200029186777935?utm_source=AllEvents.in&utm_medium=event-discovery-platform&utm_campaign=dar+es+salaam-events

## Event venue details

- **city**: Dar Es Salaam
- **state**: DS
- **country**: Tanzania
- **location**: Kiwalani, Dar es Salaam
- **lat**: -6.8610800692785
- **long**: 39.229292347023
- **full address**: Kiwalani, Dar es Salaam, Tanzania

## Event Organizer details

- **affiliate_id**: 2
- **organizer**: Fit With Mayala (https://allevents.in/org/fit-with-mayala/27069015)

## Event gallery

- **Alt text**: banner
  - **Image URL**: https://cdn-az.allevents.in/events7/banners/e956f2e838f32e39e60757c81e295baafdc0f8a9c046bbd4b8a2f651a88f70ee-rimg-w1200-h1594-dc627a2d-gmir?v=1767383634
- **Alt text**: thumbnail
  - **Image URL**: https://cdn-az.allevents.in/events7/banners/bcd12985bd910c296032e102a5857e816c5dbf0776cbca31d15c90f6f06aece3-rimg-w300-h300-dc748d30-gmir?v=1767383634

## FAQs

- **Q**: When is the event happening?
  - **A:** Mon, 05 Jan, 2026 at 07:22 pm
- **Q**: Where is the event happening?
  - **A:** Kiwalani, Dar es Salaam, Tanzania
- **Q**: Who is organizing the event?
  - **A:** Fit With Mayala
- **Q**: What type of event is this?
- **Q**: Where can I find ticket details about NDONT HOLD YOUR PAST. ?
  - **A:** You can find ticket details about this event on AllEvents.

## Structured Data (JSON-LD)

```json
[
    {
        "@context": "https://schema.org",
        "@type": "Event",
        "name": "NDONT HOLD YOUR PAST.",
        "image": "https://cdn-az.allevents.in/events7/banners/e956f2e838f32e39e60757c81e295baafdc0f8a9c046bbd4b8a2f651a88f70ee-rimg-w1200-h1594-dc627a2d-gmir?v=1767383634",
        "startDate": "2026-01-05",
        "url": "https://allevents.in/dar-es-salaam/ndont-hold-your-past/200029186777935",
        "location": {
            "@type": "Place",
            "name": "Kiwalani, Dar es Salaam",
            "address": {
                "@type": "PostalAddress",
                "streetAddress": "Dar es Salaam, Tanzania",
                "addressLocality": "Dar Es Salaam",
                "addressRegion": "DS",
                "addressCountry": "TZ"
            },
            "geo": {
                "@type": "GeoCoordinates",
                "latitude": "-6.8610800692785",
                "longitude": "39.229292347023"
            }
        },
        "eventAttendanceMode": "https://schema.org/OfflineEventAttendanceMode",
        "description": "NDONT HOLD YOUR PAST.\n\nIli uweze kufika MBALI kwenye eneo la huduma,ndio,biashara,kujiajiri, kazi yeyote Ile \nLAZIMA UIFANYE KWA BIDIII YAKO YOTE.\n\nWEKEZA KWENYE UFAHAMU WAKO \nmaarifa kutosha Ili uweze kufanya vizuri \n\nWEKEZA KWENYE UWEZO WAKO.\nNi muhimu kuimarisha uwezo WAKO Ili uweze kuzalisha kit",
        "organizer": [
            {
                "@type": "Organization",
                "name": "Fit With Mayala",
                "url": "https://allevents.in/org/fit-with-mayala/27069015"
            }
        ]
    }
]
```