Mohammed Doumbia ndani ya young africans sports club ni boss kwenye eneo la midfielders��
Kama watu wa football wanavyo muona kuwa mohammed Doumbia ni x factor basi ndio hivyo hivyo huyu mwamba ni x factor haswa�
Muda mrefu sana young africans ilikosa viungo wabunifu kwenye Final third uwanjani kitu ambacho kili tupa tabu sana kwenye International tournaments �
E factor kwa muda mrefu alikuwa Doctor aucho lakini akicheza hasa eneo La chini ya uwanja hivyo kuwa na idadi ndogo ya creators kwenye zone fourteen �
Ujio wa pacome na maxi nzengel uliongeza kitu kwenye midfielders lakini hawa ni wachezaji ambao wana enjoy sana wakicheza pembeni ya uwanja �
Hivi sasa young africans sports club imekamilika kila idara baada ya ujio wa kiungo mkabaji halisi Mussa balla Conte �
Lakini pia ujio wa namba 8 halisi mohammed Doumbia � lakini pia ujio wa pure Number 10 lassine kouma � �
Huku hazina ya box to box midfielders ikibakia vilevile mudathiryahya na duke Abuya lakini pia uwepo wa versatile players kwa pacome na max ��
Kule kwenye Central attacking ni kwa �� sana
Walid mzize� mwana mfalme � lakini pia Andy goals��
Tukisema tuna piga kichwani tambueni kuwa ni tuna piga kweli���������
#Facebook mwanayangaofficial
#Instagram @mwanayangaofficial1
#Tiktok @mwanayangaofficial
#threads @mwanayangaofficial
#whatsAppchanel @mwanayangaofficial
Also check out other Sports events in Dar Es Salaam.