MNAZI MMOJA GROUNDS, Dar Es Salaam, Tanzania
TAARIFA MUHIMU
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA KUSHIRIKIANA NA THE HEALTHIER KIDNEY FOUNDATION
IMESOGEZA MBELE MBIO ZA FIGO MSIMU WA PILI KUTOKANA NA SABABU ZISIZOZUILIKA :
HIVYO MBIO ZA FIGO ZITAFANYIKA TAREHE 8-7-2023 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAAM
UTARATIBU WA KUGAWA KITS UTAFANYIKA KUANZIA TAREHE 5-06-2023.
HATA HIVYO ZOEZI LA KUJISAJILI LINAENDELEA KAMA KAWAIDA
JISAJILI SASA KWA TSH *35,000/=* TU VIA CONTROL NUMBER
*994501474711* - MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL
UTAPATA MEDALI, T-SHIRT NA HUDUMA ZA BARABARANI
Umbali: 5KM, 10KM & 21KM
Ukishajisajili tuma taarifa zako ( JINA, UMBALI, UKUBWA WA T-SHIRT UNAYOVAA)? 0653594856
AFYA YA FIGO KWA WOTE, FIGO YAKO AFYA YAKO!!
Tickets for FIGO MARATHON S.02-2023 can be booked here.
Event Photos